Skip to content Skip to sidebar Skip to footer

(DOWNLOAD) "Safari yangu" by Ali Hilal Ali # eBook PDF Kindle ePub Free

Safari yangu

📘 Read Now     📥 Download


eBook details

  • Title: Safari yangu
  • Author : Ali Hilal Ali
  • Release Date : January 25, 2015
  • Genre: Fiction & Literature,Books,
  • Pages : * pages
  • Size : 502 KB

Description

SAFARI YANGU ni riwaya ya Kiswahili inayoyateka na kuyaakisi maisha ya vijana wengi wanaotamani kufanikiwa maishani kwa njia ya mkato. Mwandishi amejaribu kutumia ufundi wa lugha kwa kuimulika jamii yake na kuyaibua mambo yanayowasibu vijana wengi wa sasa. Zaharani anatamani kuishi Ulaya akiamini kuwa huko ndiko kwenye pepo ya dunia. Anajenga mazoea na mgeni wa kizungu (Eliza) aliyekuja kijijini kwao kwa ajili ya utafiti wa mambo ya misitu na vyanzo vya maji. Eliza anaamua kugharamia safari ya Zaharani ili aishi Ulaya. Hali tete inamkabili Zaharani baada ya mchumba wa Eliza kubaini kuwa Eliza ndiye aliyeidhamini safari ile. Anaamua kuiwekea mguu safari yake na hapo Eliza anamtelekeza Zaharani hotelini nchini Kenya bila ya matakwa yake. Hamu na shauku ya kwenda Ulaya inapotea na kumsababishia matatizo mengi maishani mwake. Hatimaye, mambo yakamzunguka na kumgeuka.

ALI HILAL ALI ni mwandishi wa Kiswahili katika jamvi la riwaya na ushairi. Amezaliwa katika kijiji cha Kalani, Mkoani Pemba, Zanzibar mnamo tarehe 16/4/1989. Alianza kutunga baadhi ya mashairi ya Kiswahili, miongoni mwa mashairi yake ni kama vile GININGI, PINGU, PWANI, KIFO CHA NYANI na mengineyo. Aliitumia mitandao ya kijamii kuweza kukidhihirisha kipaji chake kwa kuandika riwaya ambazo zilipata washabiki wengi walioweza kuzisoma kila siku ya ratiba. Miongoni mwa riwaya alizowahi kuandika kupitia ukurasa wake wa facebook ni pamoja na MBIU CHAKAVU, TANURI LA USUHUBA, NGOME SABA NA PIGO LA DHIKI. SAFARI YANGU ni riwaya yake ya kwanza kupata kupigwa chapa.

DL2A – BULUU PUBLISHING, FRANCE


Books Free Download "Safari yangu" PDF ePub Kindle


Post a Comment for "(DOWNLOAD) "Safari yangu" by Ali Hilal Ali # eBook PDF Kindle ePub Free"